Tuesday, December 3, 2019

Hatimaye Dada Wa Diamond Platnumz "Queen Darleen" kaolewa (+Video)

Hatimaye Dada Wa Diamond Platnumz "Queen Darleen" kaolewa (+Video)
Baadaye ya sherehe za 40 ya mtoto wa Diamond Platnumz na Tanasha Donna "Naseeb Junior" sasa ni harusi ya mwanadada Queen Darleen. Wengi waliongeo na kuzungumza lakini Queen Darleen atabaki kuwa juu na ni mke wa mtu sasa officially.

Hatimaye Dada Wa Diamond Platnumz "Queen Darleen" kaolewa (+Video)