Monday, December 9, 2019

Download App mpya ya Mapenzi, ulinogeshe penzi - Mapenzi 360

Download App mpya ya Mapenzi, ulinogeshe penzi - Mapenzi 360


App hii ya Mapenzi 360 imelege kukupa mbinu za kulinogesha penzi lako. App inazungumzia mbinu, kanuni, misingi na njia mbalimbali ambazo zitakusaidia wewe ambaye upo kwenye ndoa unajipanga kuingia kwenye ndoa. Zipo makala zinazohusu Mahusiano, Mapenzi, Tendo La Ndoa na maisha ya kila siku.

Lengo letu ni kuona tabasamu inalejea katika jamii ambayo imejaa huzuni kwa sababu ya udanganyifu, mateso na hili ambazo zimejaa katika Mapenzi.