MAKALA

Mwanamke akikujibu sms yako hivi acha haraka sana kuchat nae

Mwanamke akikujibu sms yako hivi acha haraka sana kuchat nae

Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu yafuatayo, tafadhali sana usiendelee kuchat nae maana kinachofuata hapo ni majanga tu.

RELATED: Kitakachompata mwanamke akiacha kufanya mapenzi

Mwanamke akikujibu sms yako hivi acha haraka sana kuchat nae

KWA MFANO: 
1. Ukimtumia sms ”Mambo mpenzi wangu?” akikujibu ”mambo mabaya”, usimuulize kwanini mambo mabaya, ukimuuliza atakwambia kuwa ”sina hela dear”

2. Ukimtumia sms ”Maisha yanasemaje kipenzi changu” akikujibu ”maisha magumu hubby wangu we acha tu” usimuulize kwanini, ukimuuliza kwanini atakwambia ”nimefulia mwenzio kama nini sijui”

3. Ukimtumia sms ”Mbona kimya sana mchumba wangu, umenitupa kiasi hicho” akikujibu ”sijakutupa wangu yaani mambo hata hayaendi” usimuulize kwanini mambo hayaendi, ukimuuliza atakwambia kuwa ”yaani sina kitu mpenzi wangu, simu ilikuwa haina hata hela ya kubeep”

4. Au ukiona mwanamke anaanza kwa kukwambia nikwambie kitu? We mkatalie kiutani utani tu, mwambie usiniambie, hata akikomaa vipi akwambie mwambie sitaki uniambie huku unafanya kama utani lakini moyoni unakuwa upo serious.

RELATED: Mwanamke akikupenda utaona vitu hivi 10

Ni mara chache sana mwanamke akikwambia kuwa mambo mabaya, maisha magumu au mambo hayaendi huwa na matatizo mengine kama kuumwa, misiba…. n.k lakini THE REST ni wapigaji mizinga tu. Akikwambia maisha magumu mjibu ”pole wangu, mambo mengine vipi?”

Ukipewa majibu kama hayo, chagua moja, either usiendelee kuchat nae mpaka badae kidogo au mbadilishie maada ili kukwepa huo mzinga ambao unakuja mbele yako.

1 Comment

  • Hapo POA kaka yangu nashukuru kwa mada Yako I wish ningekuona tupate chai pamoja big up sana ma bro

Leave a Comment