MAKALA

Mambo 6 yatakayomfanya mumeo akupende zaidi

Mambo 6 yatakayomfanya mumeo akupende zaidi

1. Muamini mmeo au mchumba wako.

2. Usikatishe tamaa katika maono yake.

3. Usimlazimishe kupenda mambo unayoyapenda.

4. Usipange kumbadilisha.

RELATED: Maneno 14 ambayo mwanamke anatamani umwambie

5. Usidhani kwamba hawezi kutambua uwepo na uzuri wa wanawake wengine.

6. Usilazimishe kuwajibika juu ya mambo yako:

Kama vile kwenda saluni, umeme, vocha na mambo mengine hasa kama bado mko katika mchakato wa uchumba, kama atafanya hivyo mwache afanye mwenyewe msimlazimishe eti kwa sababu shosti wako huwa anafanyiwa hivyo na wewe unataka, ladies huo ni utoto

Leave a Comment