APP

Download Biblia ya Kiswahili na Kiingereza

Download Biblia ya Kiswahili na Kiingereza

Biblia ni jina la jumla kwa ajili ya vitabu vitakatifu vya dini ya Uyahudi na hasa ya Ukristo.

Neno limetokana na lugha ya Kigiriki ambayo ndani yake βιβλία (biblia) ina maana ya “vitabu” ikiwa ni wingi wa βιβλος (biblos).

Hii ni kwa sababu Biblia ni mkusanyo wa maandiko mbalimbali yaliyoweza kutungwa kwa muda wa miaka 1000 hivi.

RELATED: Essence Of Worship – Aliyeniokoa

Hivyo Biblia ni tofauti na vitabu vingine kwa sababu iliandikwa na watu mbalimbali ambao hawakuwa pamoja wala hawakuandika kwa wakati mmoja, lakini vitabu vyote vimekusanywa na kuunda kitabu kimoja cha Biblia.

Inasadikiwa na Wayahudi na Wakristo kwamba “Biblia ni kitabu kilichoandikwa na watu kwa uwezo wa Mungu”.

Sasa unaweza kusoma Biblia takatifu ya Kiswahili na Kiingereza katika simu au computer yako, Download hapa chini Download Biblia ya Kiswahili na Kiingereza bure.

DOWNLOAD AGANO JIPYA HAPA (PDF)

DOWNLOAD AGANO LA KALE HAPA (PDF)

DOWNLOAD APP

The Bible is a collection of religious texts or scriptures sacred in Christianity, Judaism, Samaritanism, and many other faiths. It appears in the form of an anthology, a compilation of texts of a variety of forms, originally written in Hebrew, Aramaic, and Koine Greek.

 

 

 
 

 

Leave a Comment